Walther Hermann Nernst (25 Juni 186418 Novemba 1941) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Aliongeza utafiti wa kemia kwa jumla. Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Walther Nernst


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walther Nernst kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.