Wandendeule ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Ruvuma, hasa maeneo ya wilaya ya Namtumbo.

Lugha yao ni Kindendeule.[1]

Utamaduni hariri

Mila zao ni nyingi. Wasichana wakishabalehe wanapelekwa porini kuchezwa unyago, na hurudishwa nyumbani kwa shangwe na vigelegele.

Zao lao kuu la biashara ni tumbaku.

Marejeo hariri

  1. Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. www.tpdf.mil.tz. Iliwekwa mnamo 2024-01-13.
  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wandendeule kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.