Watachoni ni kabila la watu wenye asili ya Wakalenjin wanaoishi magharibi mwa Kenya, hasa katika kaunti ya Bungoma na kaunti ya Kakamega.

Kwa kuchanganyikana na Waluhya, siku hizi lugha yao ni Lutachoni, lahaja ya Kiluhya, mojawapo kati ya lugha za Kibantu.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Watachoni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.