Waziri Mkuu wa Tanzania

Waziri Mkuu wa Tanzania ni msimamizi wa shughuli zote za serikali katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anawakilisha serikali katika bunge la taifa. Yuko chini ya mamlaka ya rais.[1] Anateuliwa na rais akihitaji kuthebitishwa na wabunge wengi.[2]

Waziri Mkuu si kiongozi wa serikali lakini anaongoza vikao vya baraza la mawaziri wakati rais na makamu wa rais hawapo.[3]

Mwaziri Wakuu wa Tanzania (1964– sasa) hariri

Vyama

      Tanganyika African National Union (TANU)
      Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Picha Name
(mwaka wa kuzaliwa - kufariki dunia)
Aliingia ofisini Alitoka ofisini Chama
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Cheo kilofutwa (26 Aprili 1964 – 29 Oktoba 1964
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Cheo kilofutwa (29 Oktoba 1964 – 17 Februari 1972)
  Rashidi Kawawa
(1926–2009)
17 Februari 1972 5 Februari 1977 TANU
(1) 5 Februari 1977 13 Februari 1977 CCM
2   Edward Sokoine
(1938–1984)
(1st time)
13 Februari 1977 7 Novemba 1980 CCM
3   Cleopa Msuya
(1931–)
(1st time)
7 Novemba 1980 24 Februari 1983 CCM
(2)   Edward Sokoine
(1938–1984)
(2nd time)
24 Februari 1983 12 Aprili 1984[4] CCM
4   Salim Ahmed Salim
(1942–)
24 Aprili 1984 5 Novemba 1985 CCM
5   Joseph Warioba
(1940–)
5 Novemba 1985 9 Novemba 1990 CCM
6   John Malecela
(1934–)
9 Novemba 1990 7 Desemba 1994 CCM
(3)   Cleopa Msuya
(1931–)
(2nd time)
7 Desemba 1994 28 Novemba 1995 CCM
7 Faili:Frederick SuMeie boston Desemba 2006.png Frederick SuMeie
(1950–)
28 Novemba 1995 30 Desemba 2005 CCM
8   Edward Lowassa
(1953–)
30 Desemba 2005 7 Februari 2008 CCM
9   Mizengo Pinda
(1948–)
9 Februari 2008 20 Novemba 2015 CCM
10   Kassim Majaliwa
(1960–)
20 Novemba 2015 mwenye majukumu CCM

Marejeo hariri

  1. Katiba ya Tanzania, fungu 52: ana "ana madaraka juu ya udhibiti, usimamiaji, utekelezaji wa siku hata siku wa kazi na shughuli za serikali; ...atakuwa Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni; ...atatekeleza au kusababisha utekelezaji wa jambo lolote au mambo yoyote ambayo Rais ataagiza "
  2. Katiba ya Tanzania, fungu 51 ""Kutakuwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano atakayeteuliwa na Rais; ...uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi."
  3. Katiba fungu 54,2
  4. Died in office.

See also hariri

Viungo vya Nje hariri