Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama hapa


Manisipaa ya Ilemela ni wilaya moja kati ya mbili zinazofanya Jiji la Mwanza kwenye Mkoa wa Mwanza, pamoja na manisipaa ya Nyamagana.

Wilaya za Jiji la Mwanza

Wakati wa sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 343,001 [1]

Misimbo ya posta katika Ilemela inaanza kwa tarakimu 332 .

Marejeo hariri

  Kata za Manisipaa ya Ilemela - Mkoa wa Mwanza - Tanzania  

Bugogwa | Buswelu | Buzuruga | Ibungilo | Ilemela | Kawekamo | Kahama | Kayenze | Kirumba | Kiseke | Kitangiri | Mecco | Nyakato | Nyamanoro | Nyamhongolo | Nyasaka | Pasiansi | Sangabuye | Shibula


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ilemela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.