Wilaya ya Kati, Unguja

Wilaya ya Kati ni wilaya moja ya Mkoa wa Unguja Kusini yenye postikodi namba 72200.

Mahali pa Kati (kijani) katika mkoa wa Unguja Kusini.


Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 132,717 [1]. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 76,346 ambapo 38,538 walikuwa wanaume na 37,808 wanawake. [2].

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2018-01-10. 
  Kata za Wilaya ya Kati, Unguja - Mkoa wa Unguja Kusini - Tanzania  

Bambi | Binguni | Bungi | Charawe | Cheju | Chwaka | Dunga Bweni | Dunga Kiembeni | Ghana | Jendele | Jumbi | Kiboje Mkwajuni | Kiboje Mwembeshauri | Kidimni | Kijibwemtu | Kikungwi | Koani | Machui | Marumbi | Mchangani Shamba | Mgeni Haji | Mitakawani | Miwani | Mpapa | Ndijani Mseweni | Ndijani Mwembepunda | Ng’ambwa | Pagali | Pete | Pongwe | Tindini | Tunduni | Tunguu | Ubago | Ukongoroni | Umbuji | Unguja Ukuu Kaebona | Unguja Ukuu Kaepwani | Uroa | Uzi | Uzini | Zawiyani


  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kati, Unguja kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.