Wilaya ya Macomia ni wilaya moja ya Mkoa wa Cabo Delgado, Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 81,208. Mji wake mkuu ni Macomia.

Wilaya ya Macomia
Mahali paWilaya ya Macomia
Mahali paWilaya ya Macomia
Mahali pa Macomia katika Msumbiji
Nchi Bendera ya Msumbiji Msumbiji
Mikoa Cabo Delgado
Mji mkuu Macomia
Eneo
 - Jumla 4,079 km²
Idadi ya wakazi (2005)
 - Wakazi kwa ujumla 81,208



Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Macomia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Wilaya za Cabo Delgado
Bandera ya Cabo Delgado
Ancuabe | Balama | Chiúre | Ibo | Macomia | Mecúfi | Meluco | Mocímboa da Praia | Montepuez | Mueda | Muidumbe | Namuno | Nangade | Palma | Pemba-Metuge | Quissanga