Wilaya ya Namtumbo

Wilaya ya Namtumbo ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Ruvuma yenye postikodi namba 57300.

Mahali pa Namtumbo (kijani) katika mkoa wa Ruvuma.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 185,131 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 271,368 [2].

Majejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Namtumbo - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania  

Hanga | Kitanda | Ligera | Likuyuseka | Limamu | Lisimonji | Litola | Luchili | Luegu | Lusewa | Magazini | Mchomoro | Mgombasi | Mkongo | Mkongo Gulioni | Mputa | Msindo | Msisima | Namabengo | Namtumbo | Rwinga


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Namtumbo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.