Wilaya ya Ntungamo


Wilaya ya Ntungamo ni wilaya moja ya Mkoa wa Magharibi, Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 490,000.

Wilaya ya Ntungamo
Mahali paWilaya ya Ntungamo
Mahali paWilaya ya Ntungamo
Mahali pa Wilaya ya Ntungamo katika Uganda
Majiranukta: 00°53′S 30°16′E / 0.883°S 30.267°E / -0.883; 30.267
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
mji mkuu Ntungamo
Eneo
 - Jumla 2,056 km²
Idadi ya wakazi (2010 Makadirio)
 - Wakazi kwa ujumla 490,000
Tovuti:  http://www.ntungamo.go.ug

Tazama pia hariri