Wilaya ya Rubanda ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2016 kutokana na wilaya ya Kabale.

Wilaya ya Rubanda
Majiranukta: 01°11′N 29°51′E / 1.183°N 29.850°E / 1.183; 29.850
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
mji mkuu Rubanda
Tovuti:  http://www.rubanda.go.ug

Tazama pia hariri