Wilaya ya Rukiga ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2017 kutokana na wilaya ya Kabale.

Wilaya ya Rukiga
Majiranukta: 01°11′N 30°06′E / 1.183°N 30.100°E / 1.183; 30.100
Nchi Bendera ya Uganda Uganda
mji mkuu Mparo
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 100,726
Tovuti:  http://www.rukiga.go.ug

Idadi ya wakazi wakati wa sensa ya mwaka 2014 ilihesabiwa kuwa 100,726.

Tazama pia hariri