Wilaya ya Shinyanga

Wilaya ya Shinyanga ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Shinyanga yenye msimbo wa posta 37200.

Mahali pa Shinyanga Vijijini (kijani) katika mkoa wa Shinyanga.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 277,518 [1] na katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 468,611 [2].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Shinyanga vjijini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania  

Bukene | Didia | Ilola | Imesela | Iselamagazi | Itwangi | Lyabukande | Lyabusalu | Lyamidati | Masengwa | Mwakitolyo | Mwalukwa | Mwamala | Mwantini | Mwenge | Nsalala | Nyamalogo | Nyida | Pandagichiza | Puni | Salawe | Samuye | Solwa | Tinde | Usanda | Usule


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Shinyanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.