Wilaya ya Sikonge ni mojawapo kati ya wilaya nane za Mkoa wa Tabora nchini Tanzania.

Mahali pa Sikonge (kijani cheusi) katika mkoa wa Tabora.

Wilaya ya Sikonge imepakana na wilaya ya Uyui upande wa kaskazini, upande wa kusini na mkoa wa Mbeya, upande wa magharibi na mkoa wa Rukwa, upande wa kaskazini-magharibi na wilaya ya Urambo na upande wa mashariki na mkoa wa Singida.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 179,883. [1] Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 335,686 [2].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Sikonge - Mkoa wa Tabora - Tanzania  

Chabutwa | Igigwa | Ipole | Kiloleli | Kiloli | Kilumbi | Kipanga | Kipili | Kisanga | Kitunda | Misheni | Mkolye | Mole | Mpombwe | Ngoywa | Nyahua | Pangale | Sikonge | Tutuo | Usunga


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Sikonge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.