Wilaya ya Tanga ni wilaya moja ya Mkoa wa Tanga nchini Tanzania yenye Postikodi namba 21200. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Tanga ilihesabiwa kuwa 243,580 [1].

Mahali pa Tanga katika mkoa wa Tanga.
Tanga

Wilaya hii ni hasa pamoja na mji wa Tanga ambao ni bandari muhimu ya Tanzania kaskazin ya Dar es salaam.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Tanga - Tanzania  

CentralChongoleaniChumbageniDugaKiomoniKirareMabawaMabokweniMagaoniMajengoMakororaMarunguMasiwaniMaweniMnyanjaniMsambweniMwanzangeMzinganiMzizimaNgamiani KaskaziniNgamiani KatiNgamiani KusiniNguvumaliPongweTangasisiTongoniUsagara