Wilaya ya Vihiga ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Vihiga
Mahali paWilaya ya Vihiga
Mahali paWilaya ya Vihiga
Wilaya ya Vihiga katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Vihiga
Eneo
 - Jumla 531.3 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 554,622

Makao makuu yalikuwa mjini Vihiga.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Vihiga.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Vihiga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.