Wiliamu wa Bourges

Wiliamu wa Bourges (pia: Guillaume de Donjeon; 1140 hivi[1]10 Januari 1209) alikuwa padri ambaye alijiunga na umonaki wa Citeaux na baadaye alipata kuwa abati na hatimaye askofu mkuu wa Bourges kuanzia mwaka 1200 hadi kifo chake.

Wiliamu wa Bourges.

Alijulikana kwa kuwa na maisha magumu, kwa kuheshimu sana Ekaristi kwa kuwatendea huruma wakleri, wafungwa na fukara[2], tena kwa kuongoa wakosefu wengi, mbali ya miujiza iliyosemekana kutokea akiwa hai na kaburini mwake.

Alitangazwa na Papa Honori III kuwa mtakatifu tarehe 17 Mei 1218.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.