Willard Frank Libby (17 Desemba 19088 Septemba 1980) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua mbinu za kurejea kipindi kupitia kaboni 14. Mwaka wa 1960 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Willard Libby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.