William Cecil Campbell (amezaliwa 28 Juni, 1930) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Eire. 1962 alikata uraia wa Marekani. Hasa aligundua tiba ya maradhi mbalimbali. Mwaka wa 2015, pamoja na Satoshi Omura na Tu Youyou, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

William Campbell
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Campbell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.