William Lukuvi (amezaliwa tar. 15 Agosti 1955) ni mbunge wa jimbo la Ismani katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Mhe. William Lukuvi Mb


Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi
Aliingia ofisini 
24 Januari 2015
mtangulizi Prof. Anna Tibaijuka

Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera
na Bunge
Muda wa Utawala
28 Novemba 2010 – Januari 2015
mtangulizi Philip Marmo
aliyemfuata Jenista Mhagama

Mbunge wa Ismani
Aliingia ofisini 
Novemba 1995

tarehe ya kuzaliwa 15 Agosti 1955 (1955-08-15) (umri 68)
Mapogoro, Tanganyika
utaifa Tanzanian
chama CCM
mhitimu wa TTC (Tabora) (Cert)
Chuo Huria cha Tanzania
dini Mkristo

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. ["Mengi kuhusu William Lukuvi". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-15. Iliwekwa mnamo 2010-11-13.  Mengi kuhusu William Lukuvi]

Viungo vya nnje hariri