William Esco Moerner (amezaliwa 24 Juni, 1953) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya hadubini kwa ajili ya kuonekanisha molekuli moja peke yake. Mwaka wa 2014, pamoja na Stefan Hell na Eric Betzig, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

William Moerner
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Moerner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.