William Bradford Shockley (13 Februari 191012 Agosti 1989) alikuwa mhandisi na mwalimu kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya umeme na kuvumbua transista. Mwaka wa 1956, pamoja na John Bardeen na Walter Brattain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

William Shockley
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Shockley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.