Willem "Wim" Kok (29 Septemba 1938 - 20 Oktoba 2018) alikuwa mwanasiasa nchini Uholanzi. Alikuwa Waziri Mkuu wa Uholanzi kuanzia 22 Agosti 1994 hadi 22 Julai 2002.

Wim Kok

Angalia Pia hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wim Kok kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.