Xin Qiji (kwa Kichina 辛棄疾, 28 Mei 11401207) alikuwa mwandishi nchini China wakati wa Nasaba ya Song.

Sanamu ya Xin Qiji.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Xin Qiji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.