Yairo (kwa Kiebrania יָאיר, Yā’îr) alikuwa mmojawapo kati ya Waamuzi wa Biblia.

Kadiri ya Waamuzi 10:3-5 alikuwa wa kabila la Manase akaongoza Israeli kwa miaka 22. Alikuwa na watoto wa kiume 30.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yairo (mwamuzi) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.