Yohane wa Afusia (Irenopoli, Isauria, leo nchini Uturuki, 770/775 - kisiwa cha Afusia, Uturuki, 835 hivi) alikuwa mmonaki abati wa Uturuki aliyedhulumiwa na kuteswa chini ya makaisari Leo V wa Bizanti na Theofilo kwa sababu ya kutetea kwa nguvu heshima kwa picha takatifu[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki[2] na Waorthodoksi[3] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Aprili[4][5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.