Yono Stanley Jilaoneka Kevela

Yono Stanley Jilaoneka Kevela (amezaliwa tar. 13 Desemba 1963) ni mbunge wa jimbo la Njombe Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Yono Stanley Jilaoneka Kevela". 13 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.