Yothamu (kwa Kiebrania: יוֹתָם, Yōtam, Yōṯam, "Mungu ni mwadilifu"; kwa Kigiriki: Ιωαθαμ, Ioatham; kwa Kilatini: Joatham)[1] alikuwa mfalme wa Yuda kwa miaka 16, akimrithi baba yake Uzia wa Yuda (2 Fal 15:33 na 2 Nya 27:1) hadi alipoondolewa madarakani na wapinzani na hatimaye kurithiwa na mwanae Ahazi.

Yothamu katika Promptuarii Iconum Insigniorum, kazi ya Guillaume Rouillé, 1553.

Wakati wake walifanya kazi manabii Amosi, Isaya na Mika.

Injili ya Mathayo inamtaja katika orodha ya vizazi vya Yesu.

Tanbihi hariri

  1. "2 Kings 15:32". Bible Hub. Online Parallel Bible Project. Iliwekwa mnamo 13 December 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)

Marejeo hariri

  • Thiele, Edwin R. (1965). The Mysterious Numbers of the Hebrew Kings (toleo la 2nd). Grand Rapids, MI: Eerdmans. 
  • Mitchell, T. C. (1992). "Chapter 29 - Israel and Judah from the coming of Assyrian domination until the fall of Samaria, and the struggle for independence in Judah (c. 750–700 B.C.)". Katika Boardman, John; Edwards, I. E. S.; Sollberger, E. n.k. Cambridge Ancient History 3, Part 2. Cambridge: Cambridge Univ. Press. ISBN 978-0521227179. 
  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yothamu wa Yuda kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.