Yozgat (pia Yuzgat au Yuzgad, Kiarmenia: Յոզգաթ), zamani uliitwa Bozok ni mji uliopo nchini Uturuki. Pia, huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Yozgat katika Kanda ya Anatolia ya Kati nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 113,614 of ambao wengine 73,930 wanaishi kati-kati ya mji wa Yozgat.[1][2]

Mji wa Yozgat
Yozgat

Marejeo hariri

  1. Turkish Statistical Institute. Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey (XLS) (Turkish). Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.
  2. GeoHive. Statistical information on Turkey's administrative units. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-03-19.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yozgat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.