Zbigniew Strzałkowski

Zbigniew Strzałkowski (aliyezaliwa Tarnow tarehe 2 Julai 1958) ni mmojawao Wafiadini wa Pariacoto, mapadri wawili wa utawa wa Ndugu Wadogo Wakonventuali kutoka Polandi waliouawa na magaidi wa Sendero Luminoso huko Pariacoto (Peru) tarehe 9 Agosti 1991.

Mwenzake alikuwa Michał Tomaszek (aliyezaliwa Łękawica tarehe 23 Septemba 1960).

Papa Fransisko amewatangazwa wenye heri wafiadini tarehe 5 Desemba 2015.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.