Ziba ni jina la kijiji na kata ya Wilaya ya Igunga katika Mkoa wa Tabora, Tanzania, yenye postikodi namba 45622. Inapatikana katika makutano ya barabara zitokazo Chomachankola, Nzega, Igunga na Nkinga.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 16,948 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,893 waishio humo.[2]

Wakazi wake wengi ni Wanyamwezi na Wasukuma lakini pia kuna Wanyiramba na Waha kiasi.

Shughuli kubwa za wakazi ni kilimo, ufugaji na biashara.

Pia wakazi ni wapenzi wa soka chini ya timu yao pendwa Ziba Sport Club.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Igunga - Mkoa wa Tabora - Tanzania  

Bukoko | Chabutwa | Chomachankola | Iborogelo | Igoweko | Igunga | Igurubi | Isakamaliwa | Itumba | Itunduru | Kining'ila | Kinungu | Kitangili | Lugubu | Mbutu | Mtunguru | Mwamakona | Mwamala | Mwamashiga | Mwamashimba | Mwashikumbili | Mwisi | Nanga | Ndembezi | Ngulu | Nguvumoja | Nkinga | Ntobo | Nyandekwa | Simbo | Sungwizi | Tambalale | Ugaka | Uswaya | Ziba


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.