[[

picha ya ziwa vanern ilipigwa katika eneo la kinnekulle

]]

Ziwa Vänern
Ramani ya Ziwa Vänern
Ramani ya Ziwa Vänern
Mahali 58°55′N 13°30′E / 58.917°N 13.500°E / 58.917; 13.500
Nchi zinazopakana Uswidi
Eneo la maji km2 5,519
Kina cha chini m 106
Kimo cha uso wa maji
juu ya UB
m 44

Ziwa Vänern ni ziwa kubwa kabisa nchini Uswidi na pia kubwa zaidi katika Umoja wa Ulaya. Ziwa hilo linapatikana katika kusini ya Uswidi.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Vänern kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.