Zubain Muhaji Mhita

Zubain Muhaji Mhita (amezaliwa 9 Septemba 1950) ni mbunge wa jimbo la Kondoa Kaskazini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Zubain Muhaji Mhita". 10 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.