Mabingwa wa Dunia wa Kulinda Mazingira

Makala hii kuhusu "Mabingwa wa Dunia wa Kulinda Mazingira" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

United Nations Environment Programme (UN Environment) ilianzisha Mabingwa wa Dunia mwaka wa 2005 kama programu ya kila mwaka ya tuzo za kutambua viongozi bora wa mazingira kutoka sekta ya umma na binafsi, na kutoka kwa mashirika ya kiraia.