Machano wa Konstantinopoli

Machano wa Konstantinopoli (kwa Kilatini: Marcianus; alifariki 471) alikuwa padri katika mji huo (katika Uturuki wa leo)-

Alitumia utajiri alioachiwa na wazazi wake kujenga na kupamba makanisa pamoja na kusaidia maskini, hivi kwamba aliishi kifukara.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Januari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.