12 Machi
tarehe
(Elekezwa kutoka Machi 12)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Machi ni siku ya 71 ya mwaka (ya 72 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 294.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1685 - Askofu George Berkeley, mwanafalsafa wa Uingereza
- 1890 - Mfalme Idris I wa Libya
- 1925 - Leo Esaki, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973
- 1927 - Raúl Alfonsín, rais wa Argentina (1983-1989)
- 1928 - Edward Albee, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer miaka ya 1967, 1976 na 1992
- 1947 - Mitt Romney, mwanasiasa kutoka Marekani
- 1955 - Gaspard Musabyimana, mwandishi wa Rwanda
- 1974 - Scarlet Ortiz, muigizaji wa filamu kutoka Venezuela
Waliofariki
hariri- 417 - Mtakatifu Papa Innocent I
- 604 - Mtakatifu Papa Gregori I, mwalimu wa Kanisa
- 1955 - Charlie Parker, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1991 - Ragnar Granit, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 2014 - Fortunatus Lukanima, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Maksimiliani wa Tebessa, Migdoni na wenzake, Petro, Dorotheo na Gorgoni, Papa Inosenti I, Paulo Aureliani, Teofane muungamadini, Alfege wa Winchester, Yosefu Zhang Dapeng, Luigi Orione n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |