Madeleine Tchuente

Madeleine Tchuente ni mwanasiasa mkameruni, anayehudumu kama waziri wa Utafiti wa kisayansi na Ubunifu.[1]

Madeleine Tchuente

Wasifu

hariri

Tchuente akiwa na asili kutokea Mangharibi mwa Kamerun, Tchuente alihitimu elimu ya sekondari huko Nkongsamba . Alipata shahada kutoka Chuo Kikuu cha Strasbourg.[2]

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-08. Iliwekwa mnamo 2024-07-28.
  2. "Memoire Online - Elites urbaines et politique locale au Cameroun. Le cas de Bayangam - Paul NUEMBISSI KOM". Memoire Online. Iliwekwa mnamo 2024-07-28.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Madeleine Tchuente kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.