Madison Haley (alizaliwa 21 Agosti 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Marekani, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL).

Marejeo

hariri
  1. "Daughter of Pro Football Hall of Famer Charles Haley heads to Stanford for soccer". USA TODAY High School Sports (kwa American English). 2015-04-20. Iliwekwa mnamo 2024-09-16.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Madison Haley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.