Maendeleo Yanayoongozwa na Vijana

Maendeleo yanayoongozwa na vijana ni mpango ambao umedhamiriwa na kutekelezwa na vijana.[1]

Maana ya Kijana hariri

Kulingana na ufafanuzi wa Umoja wa Mataifa, Kijana ni mtu mwenye umri kati ya miaka 15 hadi 24.[2]

Asasi zinazoongozwa na vijana hariri

Asasi inayoongozwa na vijana inazingatia maendeleo yanayoongozwa na vijana, inakuza ushiriki wa vijana na mara nyingi huwa na wafanyakazi wa kudumu ambao ni vijana.

Mifano ya asasi za kimaendeleo zinazoongozwa na vijana hariri

Baadhi ya mifano ya asasi ambayo inazingatia maendeleo inayoongozwa na vijana ni: UYDO (United Youth Development Organization), U8 Global Student Partnership for Development, Engineers Without Borders, Peace Child International and Restless Development.

Tanbihi hariri

  1. "Kijana" (kwa Kiingereza). 
  2. "By youth, with youth, for youth". UNESCO (kwa Kiingereza). 2019-06-14. Iliwekwa mnamo 2020-01-25.