Maewo (zamani huitwa Aurora) ni kisiwa cha Vanuatu. Kiko upande wa mashariki wa kisiwa cha Santo. Eneo la kisiwa ni 269 km². Kijiji kikubwa kabisa kisiwani huitwa Lakarere. Mwaka wa 2009 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 3569. Watu wakaao kisiwani kwa Maewo huongea hasa Kimaewo, Kimarino na Kibaetora.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.