Mafanikio
Mafanikio ni ukamilishaji wa malengo yanayoipatia nchi, jamii au mtu binafsi ustawi, afya njema au hadhi. Mafanikio pia hujulikana kama ufanisi, maendeleo au neema.
Mafanikio hupatikana baada ya kumaliza shughuli fulani au kitu fulani.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |