Mahaba Niue
"Mahaba Niue" ni jina la filamu ya vichekesho iliyotoka 2013 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Simon Mwapangata, Jacqueline Wolper, Haji Salum na Zubery Mohamed. Filamu imeongozwa na Rashid Mrutu na kutayarishwa na Steps Entertainment na Simulizi African Entertainment. Filamu inahusu mambo ya wivu kupita kiasi katika suala zima la mapenzi na kuhusu ndoa kwa wanawake warembo na changamoto zake.[1]
Mahaba Niue | |
---|---|
Posta ya Mahaba Niue | |
Imeongozwa na | Rashid Mrutu |
Imetayarishwa na | Steps Entertainment na, Simulizi African Entertainment |
Imetungwa na | Simon J. Mwapangata |
Nyota | Simon Mwapangata Jacqueline Wolper Haji Salum Zubery Mohamed |
Sinematografi | Bakari Mtaullah |
Imetolewa tar. | 2013 |
Nchi | Tanzania |
Lugha | Kiswahili |
Marejeo
hariri- ↑ Mahaba Niue Ilihifadhiwa 6 Juni 2018 kwenye Wayback Machine. katika Bongo Cinema.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mahaba Niue kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |