Mahakama ya Tanzania

Mfumo wa mahakama unaotafsiri na kutumia sheria nchini Tanzania

Mahakama ya Tanzania ni mfumo mzima wa mahakama unaotafsiri na kutumia sheria nchini Tanzania. Mpaka sasa mahakama inafuata misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 [1]. Katika katiba ya Tanzania mahakimu pamoja na majaji hutegemewa na serikali na wapo chini ya sheria na katiba.

Nchi ina mifumo ya mamlaka miwili ambapo kuna muundo wa mahakama unaowajibika kwa Tanzania Bara na mwingine kwa Zanzibar[2].

Mahakama ya Rufaa ya Jamhuri ya Muungano ilianzishwa mwaka 1979 kama chombo cha mwisho cha mahakama cha rufaa chenye mamlaka juu ya muungano mzima.

Marejeo hariri

  1. https://www.constituteproject.org/constitution/Tanzania_1995.pdf?lang=en
  2. Bierwagen, Rainer Michael; Peter, Chris Maina (1989-04). "Administration of Justice in Tanzania and Zanzibar: A Comparison of Two Judicial Systems in one Country". International & Comparative Law Quarterly (in English) 38 (2): 395–412. ISSN 1471-6895. doi:10.1093/iclqaj/38.2.395.  Check date values in: |date= (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahakama ya Tanzania kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.