Majadiliano:Amaan Abeid Karume
Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala
Kuna shida na makala kuhusu rais wa Zanzibar kwa vile Sheikh Amani Abeid Karume alikuwa rais wa kwanza wa Zanzibar lakini mtoto wake ni rais wa Zanzibar sasa hivi. Hata hivyo kurasa zote mbili zinataja rais wa kwanza tu. Tufanyaje? --Oliver Stegen 19:29, 29 Septemba 2006 (UTC)
- Samahani. Nilisahau kutaja makala nyingine: Abedi Amani Karume. --Oliver
Nimefuta maandishi. Amani Abeid Karume (* 1 Novemba 1948) ni rais wa Zanzibar tangu 8 Novemba 2000. Abeid Amani Karume alikuwa rais wa kwanza wa Zanzibar. --Kipala 16:27, 13 Desemba 2006 (UTC)