Majadiliano:Angelina Jolie

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Muundo templeti

Karibu katika majadiliano kuhusu Jolie. Unaruhusiwa kurekebisha makala mara tu uonapo kasoro. Usihofu upo huru kwa hilo ila tu usiweke matusi, lugha zisizoeleweka nk. --Muddyb Blast Producer 06:22, 22 Oktoba 2007 (UTC)Reply

Muundo templeti hariri

Unauliza mahali pa jina. Je wamaanisha jina gani? Naona jina mara tatu. Jina lipi na ulitegemea kuona nini? --Kipala 14:57, 22 Oktoba 2007 (UTC)Reply

Angalia kwa juu, Jina juu ya kichwa cha jolie halipo kati yaani kama limeshuka hivi, Linabidi liwe kati! Tafadhali angalia mfano chini

Angelina Jolie
Angeliana Jolie.
Jina la kuzaliwa Angelina Jolie Voight.
Alizaliwa 4 Juni 1975

--Muddyb Blast Producer 15:09, 22 Oktoba 2007 (UTC)Reply

Sijui tatizo ni lipi. Itakuwa ndani ya amri kwenye kichwa. Nimeshajaribu lakini bado. Nadhani tatizi ni kimo cha sehemu yenye rangi kwa sababu mwandiko hutafuta nafasi ya chini. Lakini kwa sasa nachoka. Tuangalie siku nyingine. --Kipala 15:21, 22 Oktoba 2007 (UTC)Reply

Sawa Nd. Kipala pumzika kesho au kesho kutwa tutapata ufumbuzi. jioni njema kwaheri.--Muddyb Blast Producer 15:26, 22 Oktoba 2007 (UTC)Reply

Return to "Angelina Jolie" page.