Majadiliano:Antonio Egas Moniz

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Oliver Stegen

Nd. Oliver nilijaribu kumtafuta huyu bwana António Egas Moniz katika en:wiki ikakataa kutokana jina lake liliwekewa kama viji alama fulani (kwa mfano: António Egas Moniz juu ya herufi O kuna kama kiji alama hivi) hivyo katika kuweka InterWiki ikawa inasema hakuna makala kama hiyo. Mimi nikaona bora niweke kama wale en:wiki walivyokweka. Badilisho langu liko katika InterWiki tu basi. Ni hayo tu niliyojirisha katika makala hii.--Mwanaharakati 08:05, 1 Desemba 2007 (UTC)Reply

Asante, Ndg. Muddyb kwa kuirekebisha. Umefanya vizuri. Tukazane na maendeleo ... Wasalaam, --Oliver Stegen 08:11, 1 Desemba 2007 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Antonio Egas Moniz ".