Majadiliano:Asili ya Kiswahili

Latest comment: miaka 4 iliyopita by 91.56.127.72

Jambo linalojadiliwa linafaa kutajwa katika makala ya "Kiswahili". Jina la makala halieleweki kirahisi, maana mchangiaji alimaanisha "nadharia kuhusu asili ya Kiswahili", ambayo ni tofauti na "Nadharia ya Kiswahili". Kwa makala ya pekee ingefdaa kuonyesha vyanzoi na pia kueleza hizo nadharia tofauti, ambayo haitokei katika makala hii. 91.56.127.72 07:12, 10 Julai 2020 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Asili ya Kiswahili ".