Majadiliano:Azania Bancorp

taasisi za fedha kufanyabiashara na wakulima wadogowadogo hariri

taasisi za fedha zimeacha wateja wengi kufanya nao biashara, wateja

hao ni wakulima na wafugaji wadogowadogo kama watanzania tunakubali asilimia 80 ya watanzania wanaishi vijijini je? taasisi za fedha niwateja wangapi zimewaacha bila kuwapa huduma za kibenki,mimi nimefanya utafiti na kuona jinsi taasisi za fedha zinavyoweza kufanya

biashara na wateja hao na kupata faida,taasisi za fedha zikitaka tuwasiliane.



                        by waziri ali mzee
                        phone;0718245868
                        email;mzeewaziri@gmail.com
Return to "Azania Bancorp" page.