Majadiliano:Bao

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Picha zote ni zangu, kwa hiyo hatimaliki ni yangu tu. Nilitaka kuziweka kwenye Commons, lakini nimeshindwa kutumia viungo. Tazama kiungo cha 'immagine-004' niliiweka kwenye Commons!

All the pictures are mine. I wanted to put them in Commons, but I wasn't able to link to them. See the ling to 'immagine-004' I put in Commons! Nino Vessella

Salam ndugu Ninov. Kupakia picha katika Commons ni rahisi sana kama kweli ile picha una haki nayo miliki. Inategemea wewe uliilezea vipi wakati wa kuipakia. Nakuomba ujaribu tena labda watakubali, vile vile wanaangalia uandikaji wako picha yaani (description au images summary) hilo tu ukiweza kueleza vizuri basi wao hawafanyi chochote kile. Pia ukiwa na kawaida ya kuwaeleza wale Wakabidhi (Adminstrators) juu ya hizo picha ulizo pakia basi hamna hatua yoyote itakayochukuliwa juu ya hizo picha ulizo pakia. Ni hasa Bryan na Dido wenye tabia ya kutubana sisi watumiaji. Basi kila lakheri jaribu tena itakuwa sawa tu. --Mwanaharakati 05:44, 4 Desemba 2007 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Bao ".