Majadiliano:Benki ya Maendeleo ya TIB
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala
Makala imeundwa bila marejeo yoyote yenye maana. Wikipedia ya Kiingereza hairuhusiwi kama chanzo. Pia mchangiaji ametumia google translate; ingawa sijaona makosa mazito ya msamiati, lakini sentensi si Kiswahili kweli, amefuata mtiririko wa Kiingereza. aseme kwa maneno yake. Kipala (majadiliano) 10:28, 19 Agosti 2021 (UTC)