Majadiliano:Bruce Lee

Majaribio ya templeti kwenye ujurasa huu hariri

Kwa sasa kuna tatizo la kuwa jedwali la templeti lililoingizwa katika makala yalingana na hali ya templeti kabla haijabadilishwa. Baada ya kubadilisha

  • A) templeti ni sharti kubadilisha pia
  • B) jedwali la juu litakaloingizwa katika makala HALAFU
  • C) kama makala ilikuwa tayari na jedwali: kufuta jedwali la awali na kuliingiza upya au kusahihisha.

Ninavyoona hatua C) haikutekelezwa. --Kipala 08:38, 23 Oktoba 2007 (UTC)Reply

Salam, Hilo nalo neno. Kwakweli mimi nilifanya kama ulisema, ukiona bado unahitaji maelezo zaidi ya jedwali basi unaweza kukopi kisha inweka chini yake!. ni hivyo tu. sasa naenda kidoogo nje ila baade nitarudie baada ya masaa 2. tukijaaliwa--Muddyb 09:15, 23 Oktoba 2007 (UTC)Reply

Salaam Muddy. Kama unabadilisha templeti sharti ubadilishe au kusahihisha jewali zote zilizowekwa tayari katika makala! Mimi nilisahihisha kidogo templeti ya elementi lazima sasa kuhariri makala hizi zote!
Jedwali ya templeti:filamu katika makala hii ni ile ya awali si tena ile uliyosahihisha. Linganisha: Jedwali hii ya kale yasema:
  • | muongozaji =
  • | mtunzi =
Lakini jedwali ya templeti iliyosahihishwa yasema:
  • | imeongozwa na =
  • | imetungwa na =
--Kipala 13:26, 23 Oktoba 2007 (UTC)Reply
Return to "Bruce Lee" page.